Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 2:1-3

1 Yohane 2:1-3 BHN

Watoto wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. Lakini, ikijatokea mtu akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa Baba, ndiye Yesu Kristo aliye mwadilifu kabisa. Kristo ndiye sadaka iondoayo dhambi zetu; wala si dhambi zetu sisi tu, bali pia dhambi za ulimwengu wote. Tukizitii amri za Mungu, basi, tunaweza kuwa na hakika kwamba tunamjua.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 2:1-3