Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 2:1-3

1 Yohana 2:1-3 NEN

Watoto wangu wapendwa, nawaandikia haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu yeyote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi kwa Baba: ndiye Yesu Kristo, Mwenye Haki. Yeye ndiye dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu, wala si kwa ajili ya dhambi zetu tu, bali pia kwa ajili ya dhambi za ulimwengu wote. Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 2:1-3