Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 2:1-3

1 Yoh 2:1-3 SUV

Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake.

Soma 1 Yoh 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 2:1-3