Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 9:24-25

1 Wakorintho 9:24-25 BHN

Je, hamjui kwamba katika uwanja wa michezo, ingawa wapiga mbio wote hukimbia, ni mmoja tu anayejinyakulia zawadi? Wanariadha hujipa mazoezi na nidhamu kali; hufanya hivyo ili wajipatie taji iharibikayo! Lakini sisi twafanya hivyo tupate taji isiyoharibika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 9:24-25