Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 9:24-25

1 Kor 9:24-25 SUV

Je! Hamjui, ya kuwa wale washindanao kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeaye tuzo ni mmoja? Pigeni mbio namna hiyo, ili mpate. Na kila ashindanaye katika michezo hujizuia katika yote; basi hao hufanya hivyo kusudi wapokee taji iharibikayo; bali sisi tupokee taji isiyoharibika.

Soma 1 Kor 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 9:24-25