Wimbo ulio Bora 7:10-12
Wimbo ulio Bora 7:10-12 SRUV
Mimi ni wake mpendwa wangu, Na shauku yake ni juu yangu. Njoo, mpendwa wangu, twende mashambani, Tufanye maskani katika vijiji. Twende mapema hadi mashamba ya mizabibu, Tuone kama mzabibu umechanua, Na maua yake yamefunuka; Kama mikomamanga imetoa maua; Huko nitakupa upendo wangu.