Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 96:1-3

Zaburi 96:1-3 SRUV

Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA, nchi yote. Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake, Tangazeni wokovu wake kila siku. Wahubirieni mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.

Soma Zaburi 96