Zaburi 91:1-2
Zaburi 91:1-2 SRUV
Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Atasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.