Zaburi 91:1-2
Zaburi 91:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Atasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 91