Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 91:1-2

Zaburi 91:1-2 BHN

Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”

Soma Zaburi 91

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 91:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha