Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:4-5

Zaburi 37:4-5 SRUV

Nawe ujifurahishe katika BWANA, Naye atakutimizia haja za moyo wako. Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.

Soma Zaburi 37