MUNGU + MALENGO: Jinsi Ya Kuweka Malengo Kama Mkristo
5 Siku
Ni vyema kuweka malengo kama Mkristo. Unajuaje kama lengo lako ni kutoka kwa Mungu au kwako mwenyewe?. Na malengo ya kikristo yanaonekanaje? Katika siku 5 za mpango huu wa kusoma, utajifunza katika neno na kupata ufasaha na muelekeo juu ya kupanga mipango inayosukumwa na neema!
Tunapenda kuwashukuru Cultivate What Matters kwa kutoa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea:
http://www.cultivatewhatmatters.com/youversion
Kuhusu Mchapishaji