Zaburi 37:4-5
Zaburi 37:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni. Mkabidhi Mwenyezi-Mungu maisha yako; mtumainie yeye naye atafanya kitu.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe ujifurahishe katika BWANA, Naye atakutimizia haja za moyo wako. Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako. Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
Shirikisha
Soma Zaburi 37