Zaburi 30:1-2
Zaburi 30:1-2 SRUV
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu. Ee BWANA, Mungu wangu, Nilikulilia ukaniponya.