Zaburi 30:1-2
Zaburi 30:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, nakutukuza maana umeniokoa, wala hukuwaacha maadui zangu wanisimange. Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.
Shirikisha
Soma Zaburi 30Zaburi 30:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua, Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu. Ee BWANA, Mungu wangu, Nalikulilia ukaniponya.
Shirikisha
Soma Zaburi 30