Zaburi 25:1-3
Zaburi 25:1-3 SRUV
Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, Ee Mungu wangu, Nimekutumainia Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda. Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu.