Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 25:1-3

Zab 25:1-3 SUV

Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, Ee Mungu wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda. Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 25:1-3