Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 13:5-6

Zaburi 13:5-6 SRUV

Lakini mimi nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako. Naam, nitamwimbia BWANA, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.

Soma Zaburi 13