Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 13:5-6

Zaburi 13:5-6 NEN

Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. Nitamwimbia BWANA, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.