Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 121:2-4

Zaburi 121:2-4 SRUV

Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Hatauacha mguu wako usogezwe; Akulindaye hatasinzia; Naam, hatasinzia wala hatalala, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

Soma Zaburi 121

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 121:2-4