Zaburi 121:2-4
Zaburi 121:2-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Hatauacha mguu wako usogezwe; Akulindaye hatasinzia; Naam, hatasinzia wala hatalala, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:2-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:2-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. Hatakuacha uanguke; mlinzi wako hasinzii. Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali.
Shirikisha
Soma Zaburi 121