Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 121:2-4

Zab 121:2-4 SUV

Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

Soma Zab 121

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 121:2-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha