Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 105:4-5

Zaburi 105:4-5 SRUV

Mtafuteni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote. Yakumbukeni matendo yake ya ajabu aliyoyafanya, Miujiza yake na hukumu alizotoa.

Soma Zaburi 105