Zaburi 105:4-5
Zaburi 105:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Kumbukeni matendo ya ajabu aliyotenda, miujiza yake na hukumu alizotoa
Shirikisha
Soma Zaburi 105Zaburi 105:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtafuteni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote. Yakumbukeni matendo yake ya ajabu aliyoyafanya, Miujiza yake na hukumu alizotoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 105