Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 1:1-3

Zaburi 1:1-3 SRUV

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.

Soma Zaburi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 1:1-3