Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 1:1-3

Zaburi 1:1-3 BHN

Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi, wala kujumuika na wenye dharau; bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku. Huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito, unaozaa matunda kwa wakati wake, na majani yake hayanyauki. Kila afanyalo hufanikiwa.

Soma Zaburi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 1:1-3