Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 1:1-3

Zaburi 1:1-3 NEN

Heri mtu yule ambaye haendi katika shauri la watu waovu, wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, au kuketi katika baraza la wenye mizaha. Bali huifurahia sheria ya BWANA, naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana. Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, ambao huzaa matunda kwa majira yake na majani yake hayanyauki. Lolote afanyalo hufanikiwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 1:1-3