Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 27:57-60

Mathayo 27:57-60 SRUV

Na ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusufu, naye mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu; mtu huyu alimwendea Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu. Ndipo Pilato akaamuru apewe. Yusufu akautwaa mwili, akauzongazonga katika sanda ya kitani safi, akauweka katika kaburi lake jipya, alilokuwa amelichonga mwambani; akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.

Soma Mathayo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 27:57-60