Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 27:57-60

Mt 27:57-60 SUV

Hata ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusufu, naye mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu; mtu huyu alimwendea Pilato akauomba mwili wa Yesu. Ndipo Pilato akaamuru apewe. Yusufu akautwaa mwili, akauzonga-zonga katika sanda ya kitani safi, akauweka katika kaburi lake jipya, alilokuwa amelichonga mwambani; akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.

Soma Mt 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 27:57-60