Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:6-10

Mathayo 26:6-10 SRUV

Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mwenye ukoma, mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya thamani kubwa alimkaribia akaimimina kichwani pake alipoketi chakulani. Wanafunzi wake walipoona, wakakasirika, wakasema, Ni wa nini upotevu huu? Maana marhamu hii ingaliweza kuuzwa kwa fedha nyingi wakapewa maskini. Yesu akatambua akawaambia, Mbona mnamtaabisha mwanamke? Maana ni kazi njema aliyonitendea mimi.

Soma Mathayo 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 26:6-10