Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 26:6-10

Mt 26:6-10 SUV

Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mkoma, mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya thamani kubwa alimkaribia akaimimina kichwani pake alipoketi chakulani. Wanafunzi wake walipoona, wakachukiwa, wakasema, Ni wa nini upotevu huu? Maana marhamu hii ingaliweza kuuzwa kwa fedha nyingi wakapewa maskini. Yesu akatambua akawaambia, Mbona mnamtaabisha mwanamke? Maana ni kazi njema aliyonitendea mimi.

Soma Mt 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 26:6-10