Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 25:35-36

Mathayo 25:35-36 SRUV

kwa maana nilikuwa na njaa, mkanipa chakula; nilikuwa na kiu, mkaninywesha; nilikuwa mgeni, mkanikaribisha; nilikuwa uchi, mkanivika nilikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nilikuwa kifungoni, mkanijia.

Soma Mathayo 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 25:35-36