Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 25:35-36

Mt 25:35-36 SUV

kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha; nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.

Soma Mt 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 25:35-36