Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 23:8-12

Mathayo 23:8-12 SRUV

Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu. Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. Wala msiitwe viongozi; maana Kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na yeyote atakayejikweza, atadhiliwa; na yeyote atakayejidhili, atakwezwa.

Soma Mathayo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 23:8-12