Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 23:8-12

Mt 23:8-12 SUV

Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu. Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.

Soma Mt 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 23:8-12