Ayubu 1:1-2
Ayubu 1:1-2 SRUV
Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu. Kisha walizaliwa kwake watoto saba wa kiume, na binti watatu.