Yobu 1:1-2
Yobu 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Palikuwa na mtu mmoja nchini Usi, aitwaye Yobu. Mtu huyo alikuwa mwema na mnyofu; mtu mcha Mungu na mwenye kuepukana na uovu. Yobu alikuwa na watoto saba wa kiume na watatu wa kike
Shirikisha
Soma Yobu 1Yobu 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu. Kisha walizaliwa kwake watoto saba wa kiume, na binti watatu.
Shirikisha
Soma Yobu 1