Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 1:1-2

Ayubu 1:1-2 NEN

Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu. Alikuwa na wana saba na binti watatu