Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 1:1-2

Ayu 1:1-2 SUV

Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu. Kisha walizaliwa kwake wana saba, na binti watatu.