Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 12:3-5

Hosea 12:3-5 SRUV

Tumboni alimshika ndugu yake kisigino; Na alipokuwa mtu mzima alishindana na Mungu; Naam, alishindana na malaika Akashinda; alilia, na kumsihi; Alimwona huko Betheli, naye akasema nasi huko; Naam, BWANA, Mungu wa majeshi; BWANA ndilo kumbukumbu lake.

Soma Hosea 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 12:3-5