Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hos 12:3-5

Hos 12:3-5 SUV

Tumboni alimshika ndugu yake kisigino; Na alipokuwa mtu mzima alikuwa na uwezo kwa Mungu; Naam, alikuwa na uwezo juu ya malaika Akashinda; alilia, na kumsihi; Alimwona huko Betheli, naye akasema nasi huko; Naam, BWANA, Mungu wa majeshi; BWANA ndilo kumbukumbu lake.

Soma Hos 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hos 12:3-5