Hosea 12:3-5
Hosea 12:3-5 NEN
Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake; kama mwanadamu, alishindana na Mungu. Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko: BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, BWANA ndilo jina lake!