Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 39:2-3

Mwanzo 39:2-3 SRUV

BWANA akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri. Bwana wake akaona ya kwamba BWANA yu pamoja naye, na ya kuwa BWANA anafanikisha mambo yote mkononi mwake.

Soma Mwanzo 39

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 39:2-3