Mwanzo 39:2-3
Mwanzo 39:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri. Bwana wake akaona ya kwamba BWANA yu pamoja naye, na ya kuwa BWANA anafanikisha mambo yote mkononi mwake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, akamfanikisha sana. Yosefu akawa anakaa katika nyumba ya bwana wake, Mmisri. Huyo bwana wake akatambua kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, na kwamba ndiye aliyeyafanikisha mambo yote aliyofanya Yosefu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39