Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 14:22-23

Mwanzo 14:22-23 SRUV

Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye Juu sana, Muumba mbingu na nchi, ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala chochote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu

Soma Mwanzo 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 14:22-23