Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 18:13-15

Ezekieli 18:13-15 SRUV

naye amekopesha watu ili apate faida, na kupokea ziada; je! Ataishi baada ya hayo? La, hataishi; amefanya machukizo hayo yote; hakika atakufa; damu yake itakuwa juu yake. Na kama yeye huyo akizaa mwana, naye ameona dhambi zote za baba yake alizozitenda, akaogopa, asifanye neno lolote kama hayo; hakula juu ya milima, wala hakuviinulia macho vinyago vya nyumba ya Israeli, wala hakumtia unajisi mke wa jirani yake

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 18:13-15