Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 18:13-15

Eze 18:13-15 SUV

naye amekopesha watu ili apate faida, na kupokea ziada; je! Ataishi baada ya hayo? La, hataishi; amefanya machukizo hayo yote; hakika atakufa; damu yake itakuwa juu yake. Na kama yeye huyo akizaa mwana, naye ameona dhambi zote za baba yake alizozitenda, akaogopa, asifanye neno lo lote kama hayo; hakula juu ya milima, wala hakuviinulia macho vinyago vya nyumba ya Israeli, wala hakumtia unajisi mke wa jirani yake

Soma Eze 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 18:13-15