Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:11-12

Kutoka 2:11-12 SRUV

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani.

Soma Kutoka 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 2:11-12