Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:11-12

Kutoka 2:11-12 NEN

Siku moja, baada ya Mose kukua, akaondoka kwenda walikokuwa watu wake, na akachunguza jinsi walivyokuwa wakifanya kazi ngumu. Akamwona Mmisri akimpiga Mwebrania, mmojawapo wa watu wake. Mose akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha mchangani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 2:11-12