Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 17:11-12

Kutoka 17:11-12 SRUV

Ikawa, Musa alipouinua mkono wake, Israeli walishinda; na alipoushusha mkono wake, Amaleki walishinda. Lakini mikono ya Musa ililegea; basi wakatwaa jiwe, wakaliweka chini yake akalikalia. Haruni na Huri wakaitengemaza mikono yake, mmoja upande huu na mmoja upande huu; mikono yake ikathibitika hata jua lilipokuchwa.

Soma Kutoka 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 17:11-12